Bila shaka kulinda maeneo ya baharini ni chombo madhubuti cha kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa na madhara ya uvuvi wa viwandani. Lakini njia bora ya kulinda asili ni kulinda haki za binadamu za wale wanaoishi kati yake na wanaoitegemea, mwandishi wetu anasisitiza.