Kikao cha habari na kubadilishana habari huko Ambanja, kaskazini-magharibi mwa Madagaska, kimesababisha kuongezeka kwa ushirikiano kati ya wakunga wa jadi na wahudumu wa afya wa serikali.
Soma chapisho kamili: Kushirikiana kwa afya ya mtoto na mama huko Ambanja