Hali Ilikuwa rahisi kwa jamii za wavuvi katika pwani ya Kenya kujua ni lini misimu itabadilika, pepo zingefika kilele, na bahari ingekuwa salama kufikiwa kwa sababu utabiri wa hali ya hewa ulikuwa thabiti zaidi. […]
Soma chapisho kamili: Usimamizi unaozingatia jamii: Mwanga wa matumaini kwa uvuvi endelevu