

Utafiti mpya: Jukumu la wavuvi wadogo wa pweza katika kufikisha usalama wa chakula katika nchi za tropiki
Utafiti mpya umechapishwa katika Nature Food ukitoa ushahidi wa umuhimu wa uvuvi wa pweza wa kitropiki katika kutoa chanzo endelevu cha chakula.