Blue Ventures Yatoa Utafiti Mpya wa Maarifa ya Jadi ya Ikolojia ya Watu wa Vezo wa Madagaska
Uelewa wa utamaduni wa wenyeji ni muhimu ili kulinda rasilimali za baharini zinazotishiwa
Blue Ventures imekamilisha utafiti wa kwanza wa maarifa ya jadi ya ikolojia (TEK) ya watu wa kuhamahama wa Vezo wanaoishi katika kijiji cha Andavadoaka, kilichoko kando ya pwani ya kusini-magharibi ya Madagaska.