Jo Hudson wa BV anaandika kuhusu mpango bunifu nchini Belize wa kukabiliana na simbavamizi.
"Kote Belize, wahifadhi sasa wanafanya kazi na jamii kuwafundisha wavuvi mbinu za kushika na kusindika samaki wa simba, kwa kufanya hivyo wakikuza masoko mapya ya ndani na kimataifa kwa samaki hao wenye ladha ya kushangaza."