
Visiwa vya Barren Isles vinapata kutambuliwa kwa umuhimu wake wa kimataifa kwa bioanuwai
Hivi majuzi Serikali ya Madagaska imeteua visiwa vya Barren Isles kuwa eneo la ardhioevu lenye umuhimu wa kimataifa, chini ya mkataba wa kimataifa wa ardhioevu.