
Tuzo la mazingira kwa kazi jumuishi ya uhifadhi na afya nchini Madagaska
St Andrews, Scotland – Mradi bunifu unaounganisha huduma za afya za kijamii na mipango ya uhifadhi wa baharini inayoongozwa na wenyeji umeshinda Tuzo ya Mazingira ya St Andrews ya mwaka huu