
Huffington Post: Mpigie mkunga!
Wakati mashirika ya kiraia yanatetea maendeleo kuhusu afya ya uzazi na mtoto katika Mkutano wa Afya Duniani wiki hii, uzoefu wa hivi majuzi nchini Madagaska unaonyesha jinsi uhamasishaji wa jamii unavyoweza kuleta mabadiliko chanya.