Wavuvi wadogo wa Madagaska wanamiliki ulinzi wa baharini kupitia lugha yao ya kitaifa
Wavuvi wadogo wadogo kote Madagaska wanatangaza fasili mpya ya lugha ya Kimalagasi ya 'LMMA' - sehemu kuu ya istilahi inayotumiwa kujadili ulinzi wa baharini duniani kote.