Tuzo la mazingira kwa kazi jumuishi ya uhifadhi na afya nchini Madagaska
St. Andrews, Scotland – Mradi wa kibunifu unaojumuisha huduma za afya za jamii na mipango ya uhifadhi wa bahari inayoongozwa na wenyeji umeshinda Tuzo la mwaka huu la St Andrews kwa Mazingira.