
Jumuiya za wavuvi za Madagaska zinaungana ili kudhibiti mustakabali wao
Mkutano wa kitaifa wa viongozi kutoka jumuiya za wavuvi wadogo wa Madagaska unaashiria wakati muhimu kwa uwezeshaji wa jumuiya za mwambao wa nchi kudai haki zao za kusimamia maeneo ya jadi ya uvuvi.