Blue Ventures inaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Misitu 2020
Jumamosi tarehe 21 Machi iliadhimishwa Siku ya Kimataifa ya Misitu 2020, iliyoanzishwa na Umoja wa Mataifa (UN). Kama shirika ambalo kazi yake inahusu mazingira asilia, na kwa mpango wetu wa kwanza wa Misitu ya Blue, tulitaka kujiunga kwenye sherehe.