
Blogu: Kuvunja dhana potofu: jamii ya Bulutui yaanza kufuatilia uvuvi wao wa pweza
Mkutano wa jumuiya katika kijiji cha pwani cha Bulutui huko Sulawesi unahamasisha uanzishwaji wa mfumo wa ufuatiliaji wa samaki na kuelekea kwenye mbinu endelevu za uvuvi.





















