
Taarifa kwa Vyombo vya Habari: Barua ya wazi inataka haki za jamii ziwekwe kiini cha mpango wa Umoja wa Mataifa wa kulinda 30% ya sayari.
Zaidi ya mashirika 70 kutoka nchi 30 yametia saini barua ya wazi inayowataka viongozi wa dunia kuweka haki za binadamu mbele na katikati katika shabaha za kimataifa za uhifadhi wa bayoanuai.