Blogu: Tunasonga kama ngalawa: polepole lakini thabiti tunapopitia janga hili
Mnamo mwaka wa 2018, jamii katika Visiwa vya Barren zilianzisha ufungaji wao wa kwanza wa muda wa uvuvi wa pweza. Sasa, wanaongoza katika juhudi za usimamizi wa uvuvi wa ndani.