
Huffington Post: Mpigie mkunga!
Huku vikundi vya asasi za kiraia vikitetea maendeleo kuhusu afya ya mama na mtoto katika Mkutano wa Afya Duniani wiki hii, uzoefu wa hivi karibuni nchini Madagaska unaonyesha jinsi uhamasishaji wa jamii unavyoweza kuleta mabadiliko chanya.
