FAO: Jinsi matango ya bahari yanavyokuza uchumi wa viumbe Zanzibar
Kampuni ya Blue Ventures imekuwa ikifanya kazi kwa kushirikiana na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) pamoja na jumuiya za mwambao wa bahari ya Zanzibar katika kuendeleza shughuli zao za uvuvi na ufugaji kwa kutoa mafunzo na msaada wa kitaalamu katika ufugaji wa samaki wa tango baharini.