Emilie Filou anaandika “Kiwango cha kitaifa cha matumizi ya uzazi wa mpango nchini Madagaska ni 29%. Bado huko Velondriake, eneo la mbali kusini-magharibi mwa nchi, ni 55%. Asilimia 10 tu ya jamii walikuwa wakitumia vidhibiti mimba mwaka 2007 wakati shirika la uhifadhi wa bahari la Blue Ventures lilipozindua Safidy, mpango wake wa kupanga uzazi. Kwa hivyo ilifanyaje?"





