Katika eneo hili la Indonesia lenye mikoko mingi ambapo uvuvi wa kaa wa tope ndio njia kuu ya kujipatia riziki, jumuiya sita zinafanya kazi pamoja ili kuhifadhi mfumo wa ikolojia.
Soma chapisho kamili: Wakati jamii zinakusanyika pamoja: kulinda mikoko ya Kubu Raya